26 March, 2017

TULIHITAJI KIONGOZI KAMA HUYU

Nakumbuka sana mwaka 2011 nilikuja Tanzania kutokea USA nilisikitishwa na rushwa ilivyokuwa imeshamiri Tanzania.Nilisikitika kwa vitendo vya manyanyaso vilivyokuwa vikifanywa na viongozi wa serikali yetu. Mfano: mtu alikuwa anaweza kukugonga akakimbia na hakuna kinavhiebdelea.

Vitendo vya ubabe njiani vilizidi, ya kwamba we we hujui kwamba Fulani no ndugu ya mkuu flani?

Nilijisemea moyoni ya kwamba hii nchi ingeongozwa na kiongozi wa kijeshi labda displine ingerudi
Mungu katusikia kilio chetu katupatia kiongozi

anayenikumbusha viongozi wa Kirumi waliokuwa wana mapenzi na nchi zao, wenye kufanya maamuzi magumu kwa mda unaotakiwa n.k
Mungu ampe nguvu na amjarie
busara

Tumpe ushirikiano wetu Tanzania itakuwa mbali kulinganisha na nchi zingine
Mungu akulinde raisi wetu mpendwa na mungu aibariki Tanzania

No comments:

Search This Blog