09 January, 2017

MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA

Mkurugenzi wa PROFA GENERAL ENTERPRISES akiwa katika banda la maonyesho ya utamaduni katika kuonyesha msisitizo juu ya uzalendo.
Ndugu Mtanzania mwenzangu,
Mwaka huu mpya 2017 hatuna budi kumshukuru mungu aliye tupa nchi hii ya Tanzania yenye watu wema, yenye lugha safi na laini yaani kiswahili, yenye utajiri wa asali na maziwa, yenye mabonde na milima, yenye mito na maziwa na bahari, yenye wanyama ndege wa angani na wadudu wa kila namna

No comments:

Search This Blog