25 January, 2012

TUSHIRIKISHANE UTAALAMU MBALIMBALI

Ndugu wasomaji na wapenzi wa PROFA,tuliwakumbusha mambo muhimu juu ya mama na mtoto na kisha kuwatakia Christmas njema kwa kuwahaidi kwamba mwaka mpya na mambo mapya.Hata hivyo elimu hiyo itaendelea punde lakini kwa sasa tunataka kuwashirikisha technologia ya kisasa kwa wale wanaosumbuka kutokana na kununua vifaa vya thamani bila kujua technologia fulani ya kuwawezesha kuvitumia kwa ufasaha.
Hapa naongelea wale wote wenye kuwa na IPAD.
Mara nyingi aliyenunua IPAD ni either amekwisha pitia simu za kisasa zenye mfumo wa ANDROIDAP na kumfanya atamani technologia ya juu zaidi ya ipad.Maranyingi simu hizi zenye ANDROID wakati mwingi zinakuwa na uwezo wa kupata internate kwa kutumiaWi-Fi.yaani Wireless Fidelity.Wireless za aina hii zinaitwa WLAN yaani Wireless Local Area Network kwa maana zinaweza kupatikana majumbani na kokote bila kuangaika kwa kuunganisha manyaya bali mawimbi ya FM kama ilivyo Redio,Televisheni na hizo simu.Compyuta nyingi kwa sasa uwekwa adapter hizo za kuchukuwa mawimbi ya High Frequency redio signal ndiyo maana unaweza kushika wireless internate kwa compyuta zilizo nyingi. Kwa simu za kisasa zenye ANDROIDAP nazo zimejengewa hizo adaptors. Mawimbi haya ya Wi-Fi ni rahisi kuyapata katika sehemu mbalimbali ambako redio inaweza kuongea.
 JINSI YA KUTUMIA SIMU YAKO KAMA SOURCE YA Wi-Fi KWAAJILI YA IPAD YAKO.
Kama umeenda kijijini na simu yako ya blackbery, Iphone au simu yenye kuwa na ANDROIDAP yoyote, pamoja na IPAD, waweza kufanya yafuatayo kupata Wireless Fideli kwenye IPAD yako:
a) bonyeza simu yako kwenye setting,
b)chagua wireless & network
c)bonyeza tethering & portable hotspot
d) chagua portable Wi-Fi hotspot setting
KWENYE IPAD SASA ILI KUSYNC. FANYA YAFUATAYO:
a) nenda kwenye setting,
b) turn on Wi-Fi
c) chagua ANDROID AP
d) Anza kutumia IPAD yako bila tatizo ukifurahia uhuru tuliopewa na
technologia ya kisasa kupitiaPROFA

No comments:

Search This Blog