27 September, 2011

HOTUBA YA RAISI KIKWETE WAKATI WA DICOTA

Watanzania waliotoka katika pande mbalimbali za taifa la Marekani walikuwa wakimsikiliza mweshimiwa

raisi akihutubia wakati wa kuadhimisha siku ya uhuru iliyofanyika sambamba na dicota convention katika mji wa dallas Virginia.Mweshimiwa raisi aliwaomba watanzania waishio marekani kufikiria namna gani ya kuendeleza nyumbani,kuheshimu sheria za nchi ya Marekani,na kuonyesha kwamba maendeleo tanzania yapo.

No comments:

Search This Blog