26 June, 2011

ITUMIE PROFA UPATE MATOKEO YALIYO BORA.

MTEJA WA PICHA NA VIDEO ACHA KUANGAIKA.


Hii ni kampuni ambayo kila mmoja anakubali kwamba utendaji kazi wake ni wa kisasa na unaendana na karne hii ya sayansi na technologia katika mambo yahusuyo
VIDEO SHOOTING AND PHOTOGRAPHING.
Angalia jinsi ambavyo picha zinavyotoka na kupendeza.Endapo unahitaji kupigiwa picha za video na picha za kawaida,
 wasiliana na PROFA watakusaidia.
Kwa Tanzania tumia Tell: 255-754307425,   255-715307425
Kwa USA tumia Tell;+13017687965.



DESIGNING AND PRINTING,


 

 Kwa maswala yakudesign na kuprint ndio wenyewe.
vifaa vyao wanavyotumia ni vifaa vya kisasa.
Usisumbuke kwamba ni wapi utafanya printing ya KOFIA,VIKOMBE,
T-SHIRTS,STICKERS,BUSSINES CARDS,
pamoja na bidhaa nyingine ndogo ndogo kama key holders
KARIBU SANA














No comments:

Search This Blog