Nawaomba tuwe wapenzi wa kilimo maana ndiyo njia pekee ya kutukomboa maaana wengi wetu tuna
ardhi na tunaweza kutumia ardhi hiyo kujikwamua katika wimbi la umasikini lililotukumba.
1 comment:
Anonymous
said...
Ni kweli kwanini tuwe na njaa wakati tuna maeneo kibao na yenye rutuba?Labda ni kukosa technologia lakini mbona technologia ya kilimo inapatikana karahisi?labda watu wanafikiri kilimo ni kujidhalilisha kwani mkulima ni mtu wa hali ya chini nchini Tanzania.Lakini kwa wenzetu ulaya na America mkulima ni Tajiri.

Post a Comment