
Wapendwa wasomaji wa blog hii,
nahisi kwamba ndoa nyingi zimejengwa katika misingi mibaya ndiyo maaana zimeteteleka na kujikuta zinavunjika.
Napenda wote tuyajadili yafuatayo jinsi yanavyosababisha ndoa kuvunjika:
1. uchumi
2. uhaminifu
3. mawasiliano
4. Imani
5. afya
6. ndugu na jamaa
No comments:
Post a Comment