Kwakweli ni jambo la kumshukuru Mungu kuona kwamba kila kitu unacho panga kinakwenda kama unavyopanga.Baada ya shukrani kwa Mungu pia hatuna budi kuwashukuru wazazi ndugu,jamaa na marafiki waliojitolea sana kwaajiri ya kufanikisha shughuli yetu.Kwakweli ilikuwa ni arusi kubwa na iliyofana sana.Nyuso za furaha zilizoashilia kufurahia arusi zilitupa moyo pamoja na kujisikia kama wadeni wanaopaswa kulipa fadhila zote watu walizotuonyesha.
No comments:
Post a Comment