
Kwa wale mliofika Washington DC. Nafikiri hamtasahau sehemu hii na bwana huyu mfupi kwani hiki ndicho kijiwe cha watanzania wengi wahishio DC. METRO.
Cha kushangaza ni kwamba club hii umilikiwa na mkenya lakini wanaojaza club hii ni wabongo hivi nikwasababu wabongo hawana sehemu maalumu yakwao? Je wabongo mliokuja hapa miaka kenda kweli hamuoni kuwa niwakati wa kuanzisha viji investiment nasi tukavipa majina ya nyumbani kwetu kuliko majina yetu kutumiwa na wadosi wengine? kama zanzibar club, kilimanjaro club, n.k? Nazingatia muungano lakini lazima wote tu

No comments:
Post a Comment